Imetengenezwa kwa Wafanyabiashara wa Tanzania

Duka Lako Mfukoni Mwako

Simamia mauzo, bidhaa, wateja na madeni kwa WhatsApp tu. Hakuna daftari tena.

MH

MauzoHub

mtandaoni

Nimeuza sukari kilo 2 kwa 5000 taslimu

14:32

✅ Imehifadhiwa. Risiti RS-000124. Sukari 2 kg — TZS 5,000 (taslimu). Mauzo ya leo: TZS 84,500

Namba Moja ya WhatsApp — Duka Lako Lote

Hakuna app ya kupakua wala mafunzo marefu. Wewe na wafanyakazi wako mnatumia namba hii hii ya WhatsApp, kila mmoja kwa mahitaji yake.

+255 719 298 829Fungua WhatsApp

Kwa Mmiliki wa Duka

  • Pata ripoti ya mauzo, faida na matumizi ya kila siku papo hapo
  • Ongeza au ondoa wafanyakazi na uwape ruhusa tofauti
  • Fuatilia madeni ya wateja na bidhaa zinazoisha
  • Lipia au badilisha kifurushi chako moja kwa moja WhatsApp

Kwa Wafanyakazi Wako

  • Andika mauzo papo hapo unapouza — hakuna kukumbuka daftari
  • Angalia bei na stock ya bidhaa kabla ya kuuza
  • Ongeza wateja wapya na rekodi madeni yao
  • Tuma risiti ya PDF kwa mteja papo hapo baada ya muuzo

Jinsi Inavyofanya Kazi

HATUA 1

Jisajili kwa Dakika Tano

Fungua akaunti na uongeze bidhaa zako za kwanza kwenye mfumo.

HATUA 2

Unganisha Namba ya WhatsApp

Wewe na wafanyakazi wako mnatumia WhatsApp mliyozoea kuandikia mauzo.

HATUA 3

Anza Kuandika Mauzo

Andika mauzo kama unavyoongea — mfumo unahifadhi kila kitu papo hapo.

Vipengele Vinavyokusaidia Kuuza Zaidi

Mauzo kwa WhatsApp

Andika mauzo kwa maneno ya kawaida, mfumo unahifadhi kiotomatiki.

Stock ya Bidhaa

Fuatilia bidhaa zinazoisha na upate tahadhari mapema.

Wateja na Madeni

Hifadhi wateja wako na fuatilia madeni bila daftari.

Ripoti za Papo Hapo

Ona mauzo ya leo, wiki na mwezi kwa mtazamo mmoja.

Watumiaji Wengi

Ongeza wafanyakazi wako wenye ruhusa tofauti kila mmoja.

Risiti za PDF

Tuma risiti rasmi za PDF kwa wateja wako papo hapo.

Mfano wa Mazungumzo

Hakuna fomu za kujaza. Andika tu unachotaka kufanya kwenye WhatsApp, MauzoHub inaelewa na kuhifadhi kila kitu papo hapo.

MH

MauzoHub

mtandaoni

Nimeuza sukari kilo 2 kwa 5000 taslimu

14:32

✅ Imehifadhiwa. Risiti RS-000124. Sukari 2 kg — TZS 5,000 (taslimu). Mauzo ya leo: TZS 84,500

Bidhaa zangu ngapi zimebaki za mafuta?

14:32

🛢️ Mafuta ya Kupikia: zimebaki lita 8. Kiwango cha chini ni lita 10 — zinakaribia kuisha.

Ripoti ya leo

14:32

📊 Mauzo ya leo: TZS 84,500 Miamala: 6 Bidhaa iliyouzwa zaidi: Sukari

Siku 2 za kwanza bure — bila kadi ya malipo

Bei Inayokufaa

Anza bure, lipia unapokuwa tayari kukua.

Mwanzo

TZS 3,000

kwa mwezi

🎁 Siku 2 za kwanza ni bure

  • Kila kitu cha Mwanzo
  • Watumiaji 3
  • Bidhaa hadi 300
  • Madeni ya wateja
  • Ripoti za wiki na mwezi
  • Risiti za PDF
Anza Sasa
Maarufu Zaidi

Biashara

TZS 6,000

kwa mwezi

🎁 Siku 2 za kwanza ni bure

  • Kila kitu cha Biashara
  • Maduka 3
  • Watumiaji 10
  • Bidhaa bila kikomo
  • Ripoti za kina
  • Ukumbusho wa madeni kiotomatiki
Anza Sasa

Biashara Plus

TZS 15,000

kwa mwezi

🎁 Siku 2 za kwanza ni bure

  • Kila kitu cha Plus
  • Maduka bila kikomo
  • Watumiaji bila kikomo
  • Msaada wa kipaumbele
  • Mafunzo binafsi
Anza Sasa

Tazama ulinganisho kamili wa vifurushi kwenye ukurasa wa bei.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Uko Tayari Kuacha Daftari?

Jiunge na maduka mengine yanayotumia MauzoHub kila siku.

Anza Bure Sasa